We are currently migrating our data. We expect the process to take 24 to 48 hours before everything is back to normal.
Emmanuel Mgogo

Artist

Emmanuel Mgogo

Last updated: 5 days ago

Emmanuel Mgogo ni Muimbaji wa nyimbo za Injili, mtunzi, muhubiri na Baba wa familia kutoka Tanzania. Ni muimbaji aliejulikana kwa watu na Kutambulika zaidi baada ya kutoa Album yake ya pili iliyokwenda kwa jina la “MSIKILIZE MUNGU”

Mpaka sasa Emmanuel Mgogo ana Album Nne (4) ambazo ni;
1. IKO WAPI NJIA
2. MSIKILIZE MUNGU
3. UMEKUSUDIWA NA MUNGU
4. USO WANGU pamoja na nyimbo zingine nyingi.

Miongoni mwa Nyimbo zake maarufu ni pamoja na MIMI NAPENDA, USO WANGU, KONGOLE YESU, NI WEWE TU, INUKA UANGAZE, WAACHE WAJE n.k

Hadhira inayomfuatilia imekuwa ikiongezeka kwa kasi zaidi tangu alipoweka rasmi nyimbo zake kwenye mtandao wa YouTube mnamo mwaka 2016

Hivi karibuni ameanzisha huduma ya “INJILI VIJIJINI MINISTRY” yenye lengo la kuwafikia watu na Kuhubiri Injili ya Yesu Kristo kwa watu wote wanaoishi katika mazingira ya vijijini.

Mungu azidi kuwabariki ninyi nyote mnaoendelea kufatilia, kuguswa na kuhudumiwa na huduma ya uimbaji kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgogo. Amen!

Monthly Listeners

997

Followers

4,701

Top Cities

774 listeners
365 listeners
41 listeners
33 listeners
32 listeners

Links

Related Artists

Sarah Magesa

Sarah Magesa

Joshua NN

Joshua NN

HILDA CHEPKIRUI

HILDA CHEPKIRUI

Guhimbaza

Guhimbaza

Maggie N

Maggie N

Makumbe Productions

Makumbe Productions

Bro. Wycliff

Bro. Wycliff

BERYL WASEGA

BERYL WASEGA

Neema Cizungu

Neema Cizungu

Ilagosa Wa Ilagosa

Ilagosa Wa Ilagosa

Philip Kimani

Philip Kimani

CHRIST FOLLOWERS

CHRIST FOLLOWERS

Aniset Butati

Aniset Butati

Mourine Awuor Nyajerusalem

Mourine Awuor Nyajerusalem

Moureen Awuor

Moureen Awuor

John Mbaka

John Mbaka

MILKA OMONDI

MILKA OMONDI

Neema Mudosa

Neema Mudosa

Martha Baraka

Martha Baraka